Nyeusi kuliko formatter yako.

Black Python Devs ni nini


Black python Devs ni jamii ya kwanza mtandaoni kwa ajili ya wasanidi wa python wenye vipaji vya viwango vyote ambao wanajitambulisha kama weusi.

Lengo letu ni:

  1. Onyesha ukubwa wa jumuiya ya wasanidi weusi wa Python walioko lakini sauti zao mara nyingi hazipazwi kwenye jumuiya.
  2. Unga mkono wasanidi weusi wa Python kwenye kazi na undelaziji nguvu kazi.
  3. share uzoefu wa makundi mengine kwenye jumuiya ya wasanidi weusi.

DjangoCon US 2023

Support Black Python Devs

Black Python Devs is a Non-Profit, fiscally hosted under the GNOME Foundation. GNOME does take a percentage for operating costs for our account and administration but at least 90% of proceeds goes directly to Black Python Devs General Purpose Fund as detailed here.

Corporate Sponsors

Partnerships

We're happy to share with you our proud sponsors who offer their products at discounted rates and a portion of proceeds go to support Black Python Devs!