Karibu kwenye jumuiya ya Black Python Devs

Tunayo furaha yakuwa na wewe hapa! 🎉

Jumuiya Ya Black Devs ni kundi mahiri la wasanidi wenye mapezi na Python na ku code. Tuna amini kwenye nguvu ya jamii na kujifuza kutoka kwa kila moja wetu. Haijalishi kama wewe ni msanidi wa mdaa mrefu au ndiyo kwanza unaanza, kunanafasi yako hapa.

Jiunge Nasi

Tunaelewa umuhimu wa mawasiliano na ushirikiano. Ndiyo maana tukatengeneza jukwaa ambalo unaweza kujiunga nasi na wana jumuiya wengine

Discord

Jiunge kwenye server zetu za Discord ambapo tuna jadili kilakitu kuanzia msingi wa awali ampaka topic za hali ya juu kuhusiana na Python. Nisehemu zuri kuliza maswali, kuchangia project yako, au chat na wasanidi wengine, hivi karibuni tumezidi kuacha milango yetu wazi zaidi. kwa hiyo kuwa huru kubofya hapa kujiunga nasi link ya ukaribisho.

Twitter

Tufute kwenye X kwa masasisho ya hivi karibuni, habari, na maarifa kutoka kwenye jumuiya yetu. .

LinkedIn

Jiunge kwenye kundiletu la LinkedIn kujiunga na wataalamu wengine kwenye kitengo hiki, shiriki kwenye mijadala husika, na upate sasisho juu ya fursa za ajira na yanayo jiri kwenye tasnia hii.

Jihusishe

Kuna njia nyingi unazoweza kujihusisha na jumuiya ya Black Python Devs:

Tunashauku yakuona nini tunaweza kufanikisha kwa pamoja kwenye hii jumuiya. Tu code, jifunze, na tukuwe pamoja!