Kahawa na Code

Jiunge nasi kila Ijumaa kwajili ya kikombe cha kahawa na uwezekano waku code na wanashauku wezeko wa Python. Jumuiya yetu iko wazi kwa ngazi zote za uzoefu, kuanzia wanao anza hadi wataalamu. Tutanzungumzia yale yote yaliyo jiri hivi karibuni kwenye usanidi wa Python, tuki shirikiana kwenye mbinu na ujanja, na kufanya kazi kwenye miradi pamoj. Iwe unataka kujifunza kitu kipya au unataka kuwa karibu na watu wenye maoni sawa, hii ndiyo fursa sahihi kufanya hivyo.Tunatanzamia kukutana na wewe hapa.