Kutuhusu

Black Python Devs ni nini


Black Python Devs ni jumuiya iliyoko mtandaoni-pekee ya wasanidi wa Python katika ngazi zote za ujuzi ambao wanatambulishwa kuwa weusi.

Lengo letu ni:

  1. Onyesha ukubwa wa jumuiya ya wasanidi weusi wa Python walioko lakini sauti zao mara mingi hazipazwi kwenye jumuiya.
  2. Unga mkono wasanidi weusi wa Python kwenye kazi-maisha zao kwa kukazia utaalamu wao na kuunda nafasi za ushauri.
  3. Jifunze kupitia wale wanaojenga na kutengeza matukio na vikundi vinginezo vya jumuiya za wanasidi weusi.

Mbona mtandaoni-pekee


Tunatumaini hatimaye tutatengeza makundi na matukio mengi ya-kibinafsi, lakini inabidi tuelewa ni wapi twaweza kua na matokeo kubwa zaidi.

Ili tufanya haya tunatumaini kukusanya watu kutoka duniani kote na kuona kule idadi kuu ya wasikilizaji ilioko.