Mikutano

Black Python Devs ina lengo la kushirikiana na mikutano ya Python ulimwenguni kote ili kuongeza muonekano na fursa kwa viongozi Weusi kwenye jumuiya ya Python. Tunaelewa kuwa wakati unaweka kila mmoja aliyehitimu kwenye jukwaa na katika mikutano, huwa inaongeza thamani yao na fursa za kuajiriwa.

Haya ndiyo baadhi ya mikutano yanyojia yaliyokaziwa ambapo unaweza patana na Black Python Developers wakihusika kwenye jukwaa au nyuma ya pazia

DjangoCon US (16-20 Oktoba 2023) - Durham, NC, USA

DjangoCon US ni mkutano wa kimataifa wa siku-tano ya jumuiya kwa wanajumuiya kuhusu muundo-mbingu wa mtandao wa Django, inayofanywa kila mwaka Amerika Kaskazini.

Wanaongea:

DjangoCon Africa (6th - 11th Novemba 2023) - Zanzibar, Tanzania

DjangoCon Africa itakuwa na siku 3 ya hutoba za njia-moja, siku 2 za karakana na mbio, kupitia jumla ya waongeaji 27, na siku moja ya kuzuru kwa wageni wakimataifa. Husiano-la-tovuti hapa

Hii tukio pia itatia ndani karakana ya Django Girls itakayofanywa mwisho-juma inayotangulia DjangoCon Africa. Ili kufanya huu mkutano uwe jumuishi iwezekanavyao, tukio litatoa msaada wa kifedha kwa washirika wa jumuiya walio na uwakilisho-mdogo ndani ya programu ya kompyuta ili kuhakikisha wao pia wanaweza kuhudhuria.

Speaking