Kahawa na Code
Jiunge nasi kila Ijumaa kwajili ya kikombe cha kahawa na uwezekano waku code na wanashauku wezeko wa Python. Jumuiya yetu iko wazi kwa ngazi zote za uzoefu, kuanzia wanao anza hadi wataalamu. Tutanzungumzia yale yote yaliyo jiri hivi karibuni kwenye usanidi wa Python, tuki shirikiana kwenye mbinu na ujanja, na kufanya kazi kwenye miradi pamoj. Iwe unataka kujifunza kitu kipya au unataka kuwa karibu na watu wenye maoni sawa, hii ndiyo fursa sahihi kufanya hivyo.Tunatanzamia kukutana na wewe hapa.
Mikutano
Black Python Devs ina lengo la kushirikiana na mikutano ya Python ulimwenguni kote ili kuongeza muonekano na fursa kwa viongozi Weusi kwenye jumuiya ya Python. Tunaelewa kuwa wakati unaweka kila mmoja aliyehitimu kwenye jukwaa na katika mikutano, huwa inaongeza thamani yao na fursa za kuajiriwa.
Here are some highlighted upcoming conferences where you can find Black Python Developers involved on stage or behind the scenes
No conferences